Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Snoop hana tuzo hata moja ya Grammy

Snoop Dogg Snoop hana tuzo hata moja ya Grammy

Tue, 7 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inawezekana ukawa hufahamu hili lakini ukweli ni kwamba pamoja na kufanya makubwa kwenye muziki Rapa Snoop Dogg hajawahi kushinda tuzo ya Grammy licha ya kutajwa kwenye vipengele tofauti tofauti mara 20 katika kipindi chache chote cha muziki.

Mara ya kwanza Snoop aliingia kwenye tuzo hizo mwaka 1994 kupitia kolabo aliyoshirikishwa na Dr.Dre - Nuthin' But a G Thang Ft. Snoop Dogg.

Marapa wanaoongoza kuchukua tuzo hizo ni #JayZ 24, Kanye West 24, #KendrickLamar 17, Eminem 15 na #Pharrell 13.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live