Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Snoop afunguka kupata Sh Mil. 112 kwa streams Bil. 1

Snoop Dogg Awataka Wasanii Kususia Majukwaa .png Snoop afunguka kupata Sh Mil. 112 kwa streams Bil. 1

Sat, 9 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Mkongwe Snoop Dogg amefunguka kuhusu mrabaha aliowahi kupokea kwa Streams Bilioni 1 katika Mtandao wa Spotify.

Rapa Mkongwe Snoop Dogg amefunguka kuhusu mrabaha aliowahi kupokea kwa Streams Bilioni 1 katika Mtandao wa Spotify. Akiwa katika mahojiano kwenye Podcast ya #BusinessUntitled alisema kuwa alitengeneza chini ya $45000 (Tsh.112+) kwa Streams Bilioni 1 katika mtandao wa Spotify kitu ambachoalishangaa na kumuuliza Msaidizi wake ndio pesa gapi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live