Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Snoop Dogg atangaza kuacha bangi

Snoop Insta.jpeg Rapa mkongwe kutoka nchini Marekani Snoop Dogg

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini Marekani Snoop Dogg ametangaza rasmi kuacha kuvuta Bangi na Sigara.

Kupitia ukurasa wa #Instagram wa mkali huyo ameweka wazi suala hilo kwa kueleza kuwa baada ya kufanya mazungumzo na familia yake sasa ameamua kuacha kuvuta bangi rasmi huku akiwataka mashabiki kuheshimu maamuzi yake kwa sasa.

Snoop Dogg anatamba na ngoma zake zikiwemo ‘Doggyland’ , ‘Drop It Like It's Hot’ , ‘Lay Low’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live