Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Snoop Dogg aingiza sokoni albamu yake ‘Bible Of Love’

5011 Award Winning Hip Hop Icon Snoop Dogg To Release His First Ever Gospel Album TZW

Mon, 19 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Usishangaye pale utakapo sikia kuwa rapper Snoop Dogg amekuwa muhubiri wa Injili,  hii ni kwa sababu msanii huyo ameelekeza nguvu zake kwa sasa kwa kuamua kuimba nyimbo za kumsifu mungu na tayari ameingiza abamu yake ya  ‘Bible Of Love’ inayomsifu mungu kwa miujiza yake sokoni.



‘Bible Of Love’ ni albamu ya 34 kwa mkongwe huyo wa Hi Hop ambayo ilitoka Machi 16 mwaka huu, huku ikiwa na jumla ya nyimbo 32 na amewashirikisha wasanii wa muziki huo kama vile;- Charlie Wilson, Faith Evans, K-Ci, Kim Burrell, The Clark Sisters, Daz Dillinger, Jazze Pha, Patti LaBelle, Mary Mary na wengineo.



Orodha ya ngoma hizo ni;-

1. “Thank You Lord (Intro)” featuring Chris Bolton

2. “Love for God” featuring Uncle Chucc, The Zion Messengers and K-Ci

3. “Always Got Something to Say”

4. “Defeated” featuring John P. Kee

5. “In the Name of Jesus” featuring October London

6. “Going Home” featuring Uncle Chucc and The Zion Messengers

7. “Saved” featuring Faith Evans and 3rd Generation

8. “Sunshine Feel Good” featuring Kim Burrell

9. “Sunrise” featuring Sly Pyper

10. “Pure Gold” featuring The Clark Sisters

11. “Pain” featuring B Slade

12. “New Wave” featuring Mali Music

13. “On Time” featuring B Slade

14. “You” featuring Tye Tribbett

15. “One More Day” featuring Charlie Wilson

16. “Bible of Love (Interlude)” featuring Lonny Bereal

17. “Come as You Are” featuring Marvin Sapp and Mary Mary

18. “Talk to God” featuring Mali Music and Kim Burrell

19. “Changed” featuring Isaac Carree and Jazze Pha

20. “Praise Him” featuring Soopafly

21. “Blessing Me Again” featuring Rance Allen

22. “Bleesed & Highly Favored (Remix)” featuring The Clark Sisters

23. “Unbelievable” featuring Ev3

24. “No One Else” featuring K-Ci

25. “Chizzle” featuring Sly Pyper and Daz Dillinger

26. “My God” featuring James Wright

27. “When It’s All Over” featuring Patti LaBelle

28. “Crown” featuring Tyrell Urquhart, Jazze Pha and Isaac Carree

29. “Call Him” featuring Fred Hammond

30. “Change the World” featuring John P. Kee

31. “Voices of Praise”

32. “Words Are Few” featuring B Slade

Mnamo Januari mwaka huu katika mahojiano na Beats 1, Snoop alieleza kuwa hakuwahi kupata muda wa kufanya kazi ya Injili kwa sababu hapo awali alikuwa akifanya biashara ya kigangsta na kuimba injili ni kitu ambacho kilikuwa ndani ya moyo wake kwa muda mrefu sana na ameamua kufanya hivyo sasa.

Soma pia: Snoop Dogg atangaza kutoa albamu ya injili

Chanzo: bongo5.com