Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Smith: Napenda sana kuwa maarufu

Will Smith Smith: Napenda sana kuwa maarufu

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Will Smith anasema anapenda sana kuwa maarufu kwa sababu unamfanya kuwa salama zaidi na kila mtu anamjua yeye ni nani hapa duniani tofauti na wasanii wengine ambao wanadai umaarufu ni gharama, unaumiza na kutia stress.

Muigizaji Will Smith anasema anapenda sana kuwa maarufu kwa sababu unamfanya kuwa salama zaidi na kila mtu anamjua yeye ni nani hapa duniani tofauti na wasanii wengine ambao wanadai umaarufu ni gharama, unaumiza na kutia stress. “Napenda kuwa maarufu, inanifanya nijisikie kuwa salama na kila mtu ananijua mimi ni nani kila ninapoenda hapa duniani na naamini kila mtu anaweza kunisaidia kupitia umaarufu wangu” - Will Smith

Chanzo: www.tanzaniaweb.live