Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siwezi kurudiana na Rushaynah kamwe - Haji Manara

Manara Na Rushaynah Siwezi kurudiana na Rushaynah kamwe - Haji Manara

Sat, 21 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara amefunguka kuwa kamwe hawezi kurudiana na aliekuwa Mke wake @rushaynah_ huku akisema kuwa ni bora kurudiana na @rubynah_bnt_salum na sio Rushaynah

Akiwa kwenye kipindi cha #LeoTena cha #CloudsFM #Manara amesema kuwa ni bora arudiane na mwanamke aliezaa nae na sio #Rushaynah

"Ni rahisi zaidi kwangu kufikiria kumrejea #Ruby na sio huyo yani kama duniani hakuna mwanamke mwingine nitaishi bila mke, Unajua ni kwanini anajisifia kuwa naweza kurudi kwake muda wowote ni kwasababu hakuna kingine cha kuzungumzia zaidi ya kunitaja kwani hakuna ambae angemjua bila mimi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live