Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siwezi kugombana na mwanamke kisa mwanaume - Mimi Mars

Mimi Mars Artist Siwezi kugombana na mwanamke kisa mwanaume - Mimi Mars

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki na muigizaji nchini Mimi Mars amedai kuwa hawezi kugombana mwanamke mwenzake kisa mwanaume ni aibu kwake kwa jinsi alivyolelewa.

Akizungumza na waandishi wa habari mwanadada huyo ameeleza yeye hawezi kugombana na mwanamke mwenzie kisa mwanaume ni aibu, na anadai hayo mambo yamepitwa na wakati unatakiwa kupambana na hali.

Hata hivyo, msanii huyo ameeleza kuwa ukimuona mwanamke anagombana kisa wanaume hadharani basi ndiyo tabia yake na alivyolelewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live