Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siri ya bata la Ommy Dimpoz nchini Uingereza (+video)

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mashabiki walikuwa wanahoji ni kipi hasa kilichompeleka Ommy Dimpoz nchini Uingereza mara baada ya kuonekana akihudia mchezo kati ya Manchester United na Tottenham Hotspurs wiki iliyopita.

Wakati mashabi wakijiuliza hilo, Ommy Dimpoz ameanza kujibu kwa vitendo maara baada ya kuonekana akiwa location na msanii wa Nigeria Mr. Eazi. kupitia social network zake Ommy Dimpoz ame-share video hii;

Chanzo: bongo5.com