Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sipendi Shetta aniite Mama Qayllah, nataka aniite ‘Baby’ – Mke wa Shetta

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mke wa msanii wa muziki Shetta, ‘Mama Qayllah’ amefunguka kwa kudai kwamba hapendi kuitwa ‘Mama Qayllah’ na mume wake huyo.



Mrembo huyo ambaye haonekani kwenye matukio mengi ya starehe, amedai anapenda mume wake amuite Baby na sio jina lingine.

“Kusema kweli kitu ambacho sipendi kutoka kwa mume wangu ni kuitwa ‘Mama Qayllah’, mimi nataka aniite Baby,” Mama Qayllah alikiambia kipindi cha Leo Tena Cha Clouds TV.

Wawili hao wameweza kukaa kwenye maisha ya ndoa kwa miaka 7.

Chanzo: bongo5.com