Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sioni wa kushindana naye Bongo - Zuchu

Zuchu Mawe X.jpeg Zuchu

Thu, 18 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ amekuja na jipya, safari hii anasema kwa Bongo, haoni msanii wa kushindana naye zaidi anaangalia wasanii wa nje.

Zuchu amefunguka hayo juzikati alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi TV ambapo aliweka wazi kuwa, hawezi kushindana na msanii wa ndani.

“Mimi nashindana mwenyewe na muziki wangu. Sishindani na mtu hapa Bongo maana naona kabisa natakiwa kushindana na wasanii wakubwa Afrika,” anasema Zuchu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live