Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sio Alikiba, Ben Pol wala Ommy Dimpoz pekee, pia Kanye West yumo

4648 Man TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mtindo wa kupaka nywele rangi kwa mwaka 2018 unazidi kushika kasi kwa mastaa mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kama ilivyo kwa wasanii wamuziki Bongo Alikiba, Ben Pol , Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee.



Kwa sasa rangi za nywele aina tofauti huwenda zinapata soko sana kwani hata staa wa muziki kutoka Marekani Kanye West ameona nayeye asikae mbali na mtindo huo kwa kuamua kupaka rangi ya pink kichwani mwake.

Kwa mujibu wa mtandao wa kijamii wa Twitter wa shabiki wa msanii huyo ameweka picha rapper huyo akiwa ameketi na na shabiki anayeitwa Jackson.

https://twitter.com/TeamKanyeDaily/status/972323860723924992/photo/1?ref_src=twsrc%5Etfw&ref_url=http%3A%2F%2Fwww.rap-up.com%2F2018%2F03%2F11%2Fkanye-west-debuts-pink-hair%2F

Hii sio mara ya kwanza kwa rapper huyo kupaka rangi nywele zake kwani mwaka 2016, baada ya kutoka hopsitali Kanye alipaka rangi ana ya blonde ( breach) katika nywele zake.

Chanzo: bongo5.com