Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sinyoi nywele za kwapa zinaniingizia fedha - Mrembo

Kwapa Sinyoi nywele za kwapa zinaniingizia fedha - Mrembo

Fri, 19 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo anayetajwa kuishi Uhispania "Calita Fire" anasema kwamba hajanyoa nywele za kwapa kwa miaka kadhaa kwa sababu zinamuingizia pesa.

Mrembo anayetajwa kuishi Uhispania "Calita Fire" anasema kwamba hajanyoa nywele za kwapa kwa miaka kadhaa kwa sababu zinamuingizia pesa. Mrembo huyo amesema, nywele hizo zinamuingizia zaidi ya Tsh Milioni 23.1 kwa Mwezi lakini pia Boyfriend wake anazipenda sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live