Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sintah afunguka ustaa ulivyomtesa

Sintah  HD Sintah afunguka ustaa ulivyomtesa

Sat, 15 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, ambaye hivi sasa ameachana kabisa na mambo ya sanaa, amefunguka kuwa umaarufu uliagharimu sana maisha yake na kubwa kuliko ni ‘kudeti’ na mtu maarufu kwa wakati huo, ambalo lilikuwa ni tatizo kubwa sana.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Global TV, Sinta alisema kuwa anamshukuru Mungu aliamua kugeukia upande mwingine na maisha yake yakawa tofauti kabisa.

Anasema hayatamani kabisa maisha yale ya nyuma aliyopitia ya umaarufu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live