Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Single Again yatua kwa Rick Ross Marekani - VIDEO

Harmonize Afunguka Wasanii Kupewa Magari Kwenye Lebo Single Again yatua kwa Rick Ross Marekani - VIDEO

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ngoma ya Single Again kutoka kwa Staa wa Muziki Harmonize imemfikia Rapa kutoka nchini Marekani, Rich Forever.

Kupitia Instastory ya Rapa huyo ameripost Post ya mdau akiwa na kinywaji cha Belaire huku ikisikilizika ngoma ya Single Again kutoka kwa Harmonize, hii inaonesha ni jinsi gani wimbo huo umepenya Kimataifa.

View this post on Instagram

A post shared by Infotainment Chamber (@rickmediatz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live