Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Single Again wa Harmonize wimbo bora wa mwaka 2023

Single Again Wa Harmonize Wimbo Bora Wa Mwaka 2023 Single Again wa Harmonize wimbo bora wa mwaka 2023

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo wa Single Again wa Harmonize umetajwa kwenye orodha ya nyimbo tano (5) za Afro Beat zilizofanya vizuri zaidi kwa mwaka 2023.

Orodha hiyo imetolewa na mtandao wa Spotify. Kwa mujibu wa Spotify, Single Again orodha imekaa hivi;

Unavailable (feat. Musa Keys)-Davido, Mnike (feat. DJ Maphorisa, Nandipha808, Ceeka RSA & Tyron Dee)Tyler ICU, Tumelo_za, DJ Maphorisa Basquiat -Asake, SOSO-Omah Lay, Single Again-Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live