Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simanzi! Safari ya mwisho ya mchekeshaji Erick Kisauti

Erick Kisautiii Simanzi! Safari ya mwisho ya mchekeshaji Erick Kisauti

Sun, 21 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye mwili wa Mchekeshaji Sobagani Zabron maarufu Erick Kisauti (37) umezikwa katika makaburi ya Nyasaka Ilemela Jijini Mwanza

Maziko hayo yamehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Hassan Masala, Wasanii wa pamoja na Wananchi.

Mchekeshaji Erick Kisauti alifariki usiku wa kuamkia Jumatano Agosti 17, huko Kibaha mkoani Pwani alikokuwa akiendelea na matibabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live