Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sikulia Tupac alivyofariki, nitalia kwa Jay Z

Drake Tupac 960x720.png Sikulia Tupac alivyofariki, nitalia kwa Jay Z

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia ngoma ya Fear kutoka kwenye Album ya 'For The All Dogs' ya Drizzy Drake @champagnepapi amechana kuwa hakulia wakati Tupac Shakur anafariki ila atafanya hivyo kwa "HOV" Jay Z.

Line hiyo ya Drake inasema "Usichukulie hii kwa nia mbaya lakini sikuwahi kulia Pac alipofariki lakini nitafanya hivyo wakati wa HOV".

Msanii gani wa Bongo anaweza akasababisha kukutoa machozi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live