Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sikuachiwa huru nilifungwa miaka 2 kisheria

Lulu Kafungwa elizabeth Michael

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji wa Filamu Elizabeth Michael ajibizana na shabiki aliyemtaka awatetee waliopo kifungoni kwa kosa la mauaji kama yaliyomkuta yeye kipindi cha nyuma alipotumikia kifungo cha Miaka 2 jela.

Lulu alihukumiwa kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia ya a;iekuwa muigizaji wa Bongo Muvi, Steven Kanumba.

Tazama hapa chini majibu ya Lulu;

View this post on Instagram

A post shared by Dozen’s Selection (@dozenselection)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live