Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siku ya Baba ni ngumu kwangu - Davido

Davido Huzuni Siku ya Baba ni ngumu kwangu - Davido

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Davido Anasema Ana siku Ngumu Sana jana Juni 18, 2023 (Siku Ya Baba Duniani) Ikiwa Bado Anaendelea Kuomboleza Kifo Cha Mtoto Wake #Ifeanyi Aliyefariki Novemba Mwaka Jana 2022 Kwa Kuzama Kwenye Swimming pool Nyumbani Kwake Huko Lagos, Nigeria

"Siku Ya Baba Duniani Ni Ngumu Kwangu, Lakini Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Nguvu"

"Maji Yamejaa Machoni Mwangu Lakini Nitakuwa Sawa"

"Kuna Siku Zitakuwa Kama Hivi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live