Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Siku chache nilikua nae"Diamond Platnumz akiongea msibani kwa Mngereza (+video)

Video Archive
Tue, 5 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezungumza katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam wakati wa kuagwa kwa mwili wa Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza leo Desemba 29.

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezungumza katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam wakati wa kuagwa kwa mwili wa Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza leo Desemba 29. “Mzee wetu Mngereza alikua Karibu sana na Wasanii na alijitahidi sana Kusimamia Sheria katika mfumo uliokua rafiki “ Diamond Platnumz

Chanzo: millardayo.com