Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sikiliza wimbo wa chipukizi huyu anayetabiriwa makubwa mwaka huu

1314 Mona

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwaka 2018 unaweza ukawa wa neema kwa wasanii chipukizi baada ya kuonekana kuanza kuachia ngoma kali kimya kimya.



Miongoni mwa wasanii hao ambao wameachia ngoma hizo ni mrembo Monah. Msanii huyu ameachia wimbo wake uitwao’Navumilia’ ambao umetayarishwa na prodyuza Mo-Fire.

Bonyeza hapa chini kusikiliza wimbo huo.

Chanzo: bongo5.com