Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sikiliza wimbo wa P Plan ambao amemshirikisha Bright

Wed, 31 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwaka 2018 unazidi kuwa wa neema kwa wasanii wachanga kwenye muziki wa Bongo Flava kutokana na idadi yao kuongezeka kila kukicha.



Msanii P Plan wa muziki wa Bongo Flava, ameachia wimbo wake mpya ‘Wanabadili Maneno’ ambao amewashirikisha Ben Gang na Bright.

Wimbo huo umetayarishwa na producer Chrixton kutoka studio za Flava Records.

Bonyeza hapa kusikiliza wimbo huo

Chanzo: bongo5.com