Menu ›
Burudani
Wed, 23 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kutokana na ukuaji wa teknolojia duniani hivi sasa mtu mmoja anaweza kutumia data ya mtu mwingine endapo tu ataunganishiwa ‘Wi-Fi’.
Pia maendeleo hayohayo yamewezesha watu kuweka neno la siri ili kuzui watu wengine wasiweze kutumia data yao bila ruhusa, katika jamii kumekuwa na baadhi ya watu ambao wakikuta Wi-Fi sehemu ambayo haina neno siri basi hujiunga bila ruhusa ya muhusika.
Fahamu kuwa katika nchini mbalimbali zikiwemo Marekani, Ufaransa, Uingereza, Canada, Ujerumani, Australia, na Singapore ni kosa kisheria kutumia Wi-Fi ya mtu mwingine bila ruhusa yake adhabu hadi kifungo hutolewa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live