Menu ›
Burudani
Thu, 13 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Sisamnes" alikuwa Jaji Mla Rushwa katika Utawala wa Mfalme "Cambyses II" wa Persian Empire (Iran) Karne ya 6.
Mfalme aliekuwepo madarakani alipata taarifa hizo na akaamuru Sisamnes achunwe ngozi akiwa hai kama sehemu ya adhabu ya kutumikia uovu wake, kisha ngozi yake itatumika kutengeneza kiti atakachokalia Jaji Mpya.
Tangu Mfalme alipotoa adhabu hiyo hakukupata kuwepo kwa hukumu za uonevu tena, Majaji walitenda haki kwa watu wote, Rushwa ilitokomezwa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live