Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sijawahi kuwa na ukaribu na Harmonize - Baba Levo

Harmonize Ataka Kuzichapa Na Baba Levo.png Sijawahi kuwa na ukaribu na Harmonize - Baba Levo

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii na Mtangazaji Baba Levo amefunguka kuhusu ukaribu wake na Staa wa muziki Harmonize licha ya kuwa mpinzani wa biashara kwa boss wake Diamond Platnumz na kudai kuwa hajawahi kuwa karibu na Harmonize na huwa wanakutana tu.

"Sijawahi kuwa na ukaribu na Harmonize, tunakutana tu kwenye makasino lakini sina ukaribu huo," alisema Baba Levo.

Mbali na hivyo amezungumza juu ya ukaribu wa Diamond na mdogo wa mpinzani wake Ali Kiba, AbduL Kiba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live