Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sijawahi kuona mvuta bangi kama Burna Boy - msanii EdSheeran

Sijawahi Kuona Mvuta Bangi Kama Burna Boy   Msanii EdSheeran Sijawahi kuona mvuta bangi kama Burna Boy - msanii EdSheeran

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki EdSheeran katika mahojiano ya hivi majuzi na Conan O'Brien amezungumza juu ya uvutaji wa Bangi wa Staa wa Nigeria Burna Boy huku akisema kuwa hajawahi kuona mtu anaevuta Bangi kama Burna.

Mwimbaji huyo wa Uingereza ambaye anakolabo ya kimataifana Burna Boy amesimulia jinsi studio yake ilivyofurika moshi kutoka kwa Burna Boy wakati wakirekodi.

"Kuna Msanii ambaye nilifanya nae kazi anaitwa #BurnaBoy, Sijawahi kuona Mtu yeyote anaevuta Bangi kama yeye"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live