Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Sijawahi kumuona baba yangu mzazi”-Kala Jeremiah (+Video)

605 Kala322 646x400 TZW

Sun, 24 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Ni headline kutoka kwa msanii wa Bongofleva Kala Jeremiah ambaye leo December 23, 2017 alikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya kutoa elimu ya kujitambua kwa vijana pamoja na burudani, inawezekana kabisa wewe ni miongoni mwa watu wengi wanaomfahamu Kala kwa juu juu tu bila kuijua historia yake vizuri lakini leo aliamua kuweka wazi historia yak e fui kwa watu wake ikiwemo kutowahi muona baba yake mzazi tangu kuzaliwa kwake. 

Ni headline kutoka kwa msanii wa Bongofleva Kala Jeremiah ambaye leo December 23, 2017 alikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya kutoa elimu ya kujitambua kwa vijana pamoja na burudani, inawezekana kabisa wewe ni miongoni mwa watu wengi wanaomfahamu Kala kwa juu juu tu bila kuijua historia yake vizuri lakini leo aliamua kuweka wazi historia yak e fui kwa watu wake ikiwemo kutowahi muona baba yake mzazi tangu kuzaliwa kwake.  Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

Chanzo: millardayo.com