Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sijaona mwanaume mwenye nguvu ya kunipa ujauzito-Huddah

HUDDAH PIX Sijaona mwanaume mwenye nguvu ya kunipa ujauzito-Huddah

Tue, 14 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa kutoka Nchini Kenya Huddah The Boss Chick amekanusha stori za kuwa na ujauzito kama wengi walivyodhania baada ya ku-share video katika Instastory yake clip ambayo alionesha tumbo na kuandika ujauzito wa miezi 3.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) ameweka ujumbe ambao amekanusha taarifa hizo kwa kusema kuwa tumbo lake linakuwa kubwa tu mbali na hivyo amedai kuwa hajaona mwanaume mwenye mbegu za kiume zenye nguvu ya kumpa Ujauzito.

Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasitegemee kuona ujauzito wala watoto wake kwani anapenda maisha ya siri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live