Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Sijahongwa Eflu 20 kisa nimefulia..” Wanaume wengi wananisumbua” – Pretty Kind

1866 Prettty 660x400

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kufungiwa Miezi 6 kutoa nyimbo mpya, kutumbuiza na kujihusisha na muziki kivyovyote, leo January 24 , 2018 Msanii Pretty Kind amesema sio kweli kwamba amefulia mpaka amekua akihongwa Elfu 20.

Akiongea na AyoTV na millardayo.com, Pretty Kind amesema kwanza anataka akirudi aonesha kabadilika sio kwenye kuimba tu hata katika maisha yake ya kawaida huku akikiri kusumbuliwa na wanaume na wengine kuchukulia matatizo yake kutaka kufanya mambo wanayotaka wao.

AUNT EZEKIEL AZUA GUMZO NA MASWALI “DAH! WANAUME”

Chanzo: millardayo.com