Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Si busara kwa Diamond kushindana na serikali – Waziri Mwakyembe

5146 Asdsadasdadasdas TZW

Wed, 21 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo DKt. Harrison Mwakyembe amesema si busara kwa Diamond kushindana na serikali endapo ana ushauri wowote ni vema akauwasilisha kwa njia sahihi na si kumshambulia Naibu Waziri kwa dharua na kejeli.

Chanzo: bongo5.com