Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Show ya Zuchu na Diamond vs Nandy na Billnass

Nandy Billn Mondi Show ya Zuchu na Diamond vs Nandy na Billnass

Tue, 30 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku zote shoo za wasanii ambao ni Couple huwa zinavutia sana, Mfano ukitazama shoo ya Jay Z na Beyonce uta-enjoy sana.

Kibongobongo shoo ambayo huwa inavutia ni hizi za Zuchu na Mondi, hawa watu wanajua miondoko ya kimahaba, wanajua kucheza, wanajua kulainishana, wanajua kukamatiana, Zuchu anajua Mauno.

Kikweli wanafanya vizuri kuliko hata shoo ya Nandy na Billnass.

Performance za Nandy na Billnass ni nzuri kwa upande wa kushirikisha mashabiki, sauti ya Nandy inanoga sana akiwa jukwaani, ngoma zake pia zinapendwa.

Hata Billnass ngoma zake zinakubalika sana na mashabiki lakini sio mzuri sana wa kucheza na jukwaa kama alivyo Nandy.

Shoo gani ungetamani kati ya Nandy na Billnass ama Diamond na Zuchu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live