Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shoo ya Nick Minaj yapigwa Kalenda

Nicki Minaj Cr Marcelo Cantu 2022 Billboard 1548 Nicki Minaj

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Show ya ‘rapa’ Nicki Minaj iliyotakiwa kufanyika jana Machi 18, New Orleans, Marekani ambayo ni muendelezo wa ziara yake imeghairishwa kutokana na mwanamuziki huyo kutokuwa vizuri kiafya.

Katika taarifa iliyotolewa na hospitali ya Smoothie King Center, imeeleza kuwa #Nicki hatoweza kufanya show kutokana na changamoto za kiafya, huku maofisa wa ziara ya Nicki wakiwatuliza mashabiki kwa kudai watapanga tarehe mpya ya kufanyika kwa show hiyo.

Ikumbukwe siku mbili nyuma Nicki Minaj alituma ujumbe kupitia mtandao wa X akieleza anahisi kuwa na Corona. Hata hivyo taarifa ya daktari inasema hana ugonjwa huo kama alivyokuwa akihisi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live