Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shoo ya Kwanza ya P Square Kutikisa

P Square 1 P Square

Sun, 28 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi la muziki la P-Square kutoka Nigeria sasa limerejea rasmi, hii ni baada ya kutangaza show yao ya kwanza pamoja tangu kumdi hilo livunjike.

Kundi hilo linaloundwa na Peter na Paul Okoye limetangaza show yao itakayofanyika Disemba 18 mwaka huu, nchini Nigeria.

Ikumbukwe tu kwamba kundi hilo kabla ya kuvunjika kwake mwaka 2015, lilijizolea umaarufu kupitia nyimbo mbalimbali ikiwemo Beautiful Onyinye, Temptation, No One Like You na nyinginezo nyingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live