Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shomadjozi Afunguka Kuteswa na Mapenzi "Nimeachwa Nimelia Sana"

IShomadjozi.jpeg Shomadjozi

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye #XXLyaCloudsFM @shomadjozi amefunguka kwamba 2022 ni mwaka ambao umesafiri na hisia zake kimapenzi! Akieleza kwenye maisha yake yote alikuwa hajawahi ku-experience KUACHWA katika mahusiano lakini kwa mara ya kwanza mwaka huu amelipitia hilo kutoka kwa mchizi ambaye alikuwa naye kwenye serious relationship.

Kwenye #XXLyaCloudsFM @shomadjozi amefunguka kwamba 2022 ni mwaka ambao umesafiri na hisia zake kimapenzi! Akieleza kwenye maisha yake yote alikuwa hajawahi ku-experience KUACHWA katika mahusiano lakini kwa mara ya kwanza mwaka huu amelipitia hilo kutoka kwa mchizi ambaye alikuwa naye kwenye serious relationship. @shomadjozi anakiri kulia sana mwaka huu kutokana na wakati mgumu aliopitia baada ya kuachwa, kuna time ilifikia hatua ya kutaka kuharibu kazi lakini alikaza na limepita hivyo! ????????

Chanzo: www.tanzaniaweb.live