Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sholo Mwamba: Kinachoniumiza ni kutomfahamu Mama yangu

Sholo Mwamba Mama Sholo Mwamba

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa nyimbo za Singeli Sholo Mwamba amesema kitu ambacho kinamuumiza kila siku kwenye maisha yake ni kutomfahamu mama yake mzazi.

Amedai kuwa mama yake alifariki wakati yeye akiwa na umri mdogo sana, hiyo basi alipofika umri wa kujitambua alionyeshwa picha ya mama yake tu.

Aidha msanii huyo anaeleza kuwa matamanio yake ni kwamba mama yake angekuwepo kwa wakati huu angefurahi sana.

Sholo hakusita kumshukuru baba yake mazazi kwa malezi aliyo mpatia akishirikiana na mama yake mlezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live