Menu ›
Burudani
Mon, 16 Aug 2021
Chanzo: millardayo.com
Ni baada ya kutoka kwenye party ya Mwigizaji Jacqueline Wolper ya kuvishwa Pete ya Uchumba na mzazi mwenzake Rich Mitindo.
Ni baada ya kutoka kwenye party ya Mwigizaji Jacqueline Wolper ya kuvishwa Pete ya Uchumba na mzazi mwenzake Rich Mitindo. Sasa miongoni mwa walioalikwa ni msanii Shilole na Mume wake, na hapa walizungumza na Ayo TV/ Millardayo.com unaweza play kufahamu walichozungumza.
Chanzo: millardayo.com