Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shilole aingilia ugomvi wa Shaa na Master J

Ssss Shilole aingilia ugomvi wa Shaa na Master J

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: eatv.tv

Shishi Baby Shilole amefunguka kilichotokea mitandaoni baada ya Shaa kuweka wazi kinachoendelea kati yake na mzazi mwenziye Producer Master J kuhusu masuala ya mtoto.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumatano , 22nd Dec , 2021 Picha ya Shilole kushoto, kulia ni Master J na Shaa

Shilole anasema kama kweli kuna matatizo kati yao na wameshindwa kuzungumza kuyamaliza kila mtu aishi maisha yake.

Zaidi mtazame hapa Shilole akizungumzia hilo.

 

Chanzo: eatv.tv