Menu ›
Burudani
Sat, 8 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kufuatia baadhi ya Wasanii kulalamika kuwa Shilole Hakustahili Kuwekwa Katika Kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kike Bongo Fleva , Mwenyewe amefunguka haya
"Na mkileta mzaha na Tuzo nachukua. Wote mnaopiga kelele ni kwa sababu hampo kwenye kipengele chochote @basata.tanzania msiyumbishwe fanyeni kazi yenu!
Mnataka kujizima data wakati 'Sitaki mazoea' ilikuwa hit song mwaka Jana. Watoto wa kiume fanyeni kazi, udananda utawaponza shenzzz‘ Mi ndio Shishi Master kabisa napiga miguu yote, ndegelec in @hajismanara‘z voice," amesema Shilole.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live