Menu ›
Burudani
Fri, 28 Oct 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mrembo mjasiriamali na msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameweka wazi kuwa kwa sasa ni mjamzito.
Shilole amefunguka hayo alipokuwa akitaniana na Baba Levo walipokuwa kwenye jukwaa kwa ya kutambulisha wimbo wa Mbosso uliopo kwenye EP yake aliyokuwa akiizindua.
“Mimi sasa hivi nina mimba sio kwamba nipo kama vile zamani,” alisema Shilole. Baba Levo alisema, Rommy alimpa mimba hiyo kwa sababu ya kupata urithi wa mali za Shilole.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live