Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shilole Achafukwa na Wanawake Wanaodanga

Shiloleee Shilole Achafukwa na Wanawake Wanaodanga

Sun, 23 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Star wa Muziki na mfanyabiashara nchini Zuwena Mohammed 'Shilole' ametoa ujumbe kwa wanawake kwamba akiwaasa wafanye starehe kwa kutumia pesa zao wenyewe na wala sio za kupewa na wanaume.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shilole ameandika..????

"Hivi mwanamke mwenzangu unajiksiaje Rahaaaaaaaaa ukiwa unafanya starehe na pesa zako mwenyewe na sio za kupewa!! Basi niwaambie ukweli hakuna pesa tamu Kama ya kutafuta mwenyewe coz unaweza fanya utakacho kwa raha zako!" 

"Unaweza tu ukaamua kupanda ndege kutoka mwanza kuja kula @shishifood lunch na ukarudi zako!…???????????????????????????????? au mnasemajeeee????!!!!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live