Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ShiiKANE wamkingia kifua Diamond kuhusu ushindi wa SoundcityMVP

8616 Zaqwqwqwqwqwqw TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mapema mwaka huu Diamond Platnumz alishinda tuzo kutoka Soundcity MVP Awards 2017 na kuibua mjadala sana nchini Nigeria.



Sasa kundi la ShiiKANE kutoka Nigeria wakipiga stori na Bongo5 limeeleza kuwa kwa kawaida watu huwa hawakosi cha kusema na Diamond anachokifanya kinajieleza, hivyo alistahili.

“Ni mtu anayejituma hata kama haupendi au kupenda muziki wake lazima ukubaliane na anachikifanya kwa sababu anastahili kushinda alichokishinda. Kila utakapomuongea basi jua ndivyo anavyozidi kuwa juu,” wamesema ShiKANE

Soma Pia; Wanigeria wamvimbia Diamond Platnumz kisa tuzo ya SoundcityMVP

Katika tuzo hizo Diamond alishinda katika kipengele cha Best Male MVP na kuwabwaga wasanii kama Runtown, Davido, Olamide, 2face Idibia, Wizkid, Shatta Wale, Navio na Sarkodie.

Loading...
Chanzo: bongo5.com