Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shetta uso kwa uso na mfalme wa Amapiano Bongo ampa maagizo haya....!(+Video)

Shetta X Chino Wana Man Shetta uso kwa uso na mfalme wa Amapiano Bongo ampa maagizo haya

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia mijadala inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu msanii Shetta na kauli yake ya kutaka kutangaza kifo cha muziki wa Amapiano, bila matarajio amekutana na Chino WanaMan akiwa ni msanii ambaye anafanya vizuri kupitia muziki huo wa Amapiano!

Katika mazungumzo yao, Shetta alionekana kumlalamikia Chino Kid kuwa wanaua muziki wa Bongo Fleva kwa kuwa Amapiano sio muziki wa Kitanzania na kumtaka Staa huyo wa Amapiano kufanya Bongo Fleva.

Mtazamo wako ni upi!? Unadhani @officialshetta anaweza kufanikiwa kuiteteresha Amapiano ama atuache kidogo kwani hizi ni zama za kizazi cha kina chino!? Drop your comment!

Tazama Video hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Clouds FM???????? (@cloudsfmtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live