Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shetta - Kifo cha Amapiano kimewadia

Shetta Pic Data Shetta - Kifo cha Amapiano kimewadia

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Sheta ameibua mjadala mzito mtandaoni baada ya kutangaza kifo cha muziki wa Amapiano.

Kupitia Insta Story yake, Sheta ameandika hivi;

"Nafikiri ni muda wa muziki wa Bongo Fleva sasa...kifo cha Amapiano kimewadia."

Mashabiki kwenye mitandao wamekuwa na mtazamo hasi wengine chanya kuhusu kauli hiyo ambapo wapo waliomuunga mkono kwa kumuambia aachie ngoma mpya isiyokuwa Amapiano lakini wengine waliponda kwa kumuambia hana jipya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live