Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shepu ya Zuchu kama kibibi cha kizungu - Tabu Mtingita

IMG 20220822  Zuchu Shepu ya Zuchu kama kibibi cha kizungu - Tabu Mtingita

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa komedi, Tabu Mtingita amesema kuwa msanii wa Bongo Fleva, Zuchu hana shepu ya kutoa Diamond Platnumz.

"Yaani Zuchu nyuma kuko flati kama bibi wa kizungu lakini ajabu Diamond hajali wala nini. Halafu utasikia wanaume ambao hawana hata mia wanasema mimi nataka mwanamke mwenye shepu.

"Kama Diamond huyo hapo katulia na kibibi Chale chake cha kizungu kinachotaka kufanana na Mange Kimambi wewe kapuku yanini ubague?" amesema Tabu Mtingita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live