Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sheikh Abdulrazack: Mimi ndiyo mwanaume ninayependwa zaidi duniani

Diva: Ndoa Tamu, Raha Zilezile Sheikh Abdulrazack: Mimi ndiyo mwanaume ninayependwa zaidi duniani

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mume wa mtangazaji maarufu nchini, Loveness Malinzi 'Diva the Bawse' aitwaye Sheikh Abdulrazak Salum amesema kuwa yeye ndiye mwanaume anayependwa zaidi duniani, hivyo hakuna mwanamke anaweza kumkataa.

Ikumbukwe kuwa, hivi karibuni wanandoa hao waliingia kwenye mgogoro na kufikia maamuzi ya kuachana, lakini siku chache baadaye walipatana na kurudiana tena, maisha yakaendelea kama kawaida.

"Mimi ndiye mwanaume ninayeongoza kupendwa na wanawake wengi duniani, mimi ndiye Doctor love, hakuna mwanamke anayenichukia. Pia, mimi ndo Mganga msafi zaidi Duniani na mimi ndiye mwanaume mwenye mke mzuri zaidi, ana sauti nyororo na ni mtoto mdogomdogo," amesema Sheikh Abdulrazack.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live