Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sharapova: Nilimfumania J4 nikapiga chini

Sharapova Sharapova: Nilimfumania J4 nikapiga chini

Sun, 28 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Asha Sharapova; ni mnenguaji maarufu wa Bendi ya Twanga Pepeta ambaye amefunguka chanzo cha kuachana na baba mtoto wake ambaye ni mwanamuziki wa bendi hiyo aitwaye J4.

Sharapova ameyasema hayo kwenye mahojiano na Kipindi cha Xpress Afrika cha +255 Global Radio na Global TV.

Amesema kuwa, sababu kuu ya kuachana na jamaa huyo ni kwamba alimfumania live na mwanamke mwingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live