Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shamsa: Mishangazi ndio wanawake wa kuoa

Shamsa Pic Data Shamsa Ford

Wed, 1 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mara ya kwanza muigizaji mkongwe na mrembo nchini Shamsa Ford amepiga stori na kueleza kuwa Kwa mwanaume yeyote anaetaka mwanamke wa kuoa Basi #Mishangazi akiwemo yeye ndie wanawake sahihi kwa sababu wanaheshima, na wanajua mwanaume anataka nini .

“Wanawake miaka 29 kurudi nyuma hao Kila siku ugomvi watakuwa wanataka iPhone mpya.“

Je, tunakubaliana na Shamsa kwa asilimia ngapi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live