Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shamsa Ford ameziona comments za wanaomkosoa kwa kumsifia Irene Uwoya

409 DSC 0747.MOV.Still018 660x400 TZW

Tue, 19 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji kutokea Bongo movie Shamsa Ford ameonekana kumsifia mwanamke mwenzake  ambaye ni Irene Uwoya kuwa ni mwanamke pekee mwenye mvuto kwenye tasnia ya muziki na Bongo Movie pia na kuliona jambo hilo la kwaida sana kwake ukizingatia kuwa wanawake huwa ni ngumu kusifiana wenyewe kwa wenyewe.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Shamsa Ford aliamua kuandika kile ambacho kilimkwaza kutoka kwa mashabiki wa kike ambao hawakuona sifa hizo za kupewa Irene Uwoya na kuandika “Yaani jana kusema huyu mwanamke ni mzuri kuliko wanawake wote wa bongo movie imekuwa shida.Yaani mpaka mnanitumia msg za matusi?Binadamu nyinyi ni watu wa ajabu sana aisee……”

Ulipitwa na hii ya Vanessa Mdee kuwa msanii wa kwanza Afrika kupata dili hili?

Chanzo: millardayo.com