Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shamsa Ford ahofia ya Zari ‘Mungu niepushe’

4847 22639316 142573219696158 7927190725563777024 N 1 TZW

Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa Filamu Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisa zake za kuogopa kuachanana na mumuwe.



Mrembo huyo ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kumuomba Mwenyezi Mungu amuapushia na mkosi wa kuachwa kwa aina ya kuweka UA jeusi ambalo limekuwa liwaandama baadhi ya wasanii bongo.

“Mwenyezi Mungu niepushie hili UA na huu uzee nitaenda Wapi.linatisha khaaaa,” ameandika Shamsa ambaye ameolewa na mwaka 2016 na mfanyabiashara maarufu Bongo.

Siku chache zilizopita muigizaji huyo alibainisha moja ya sababu zinazovunja mahusiano ya watu watu maarufu ambani ni kuingiza umaarufu wao katika mahusiano.

Soma zaidi: Shamsa Ford atoboa siri ya mastaa wa kike kufeli katika mahusiano

Mnano Mwezi Febuari 14, mwaka huu katika siku ya wapenda nao Zari The BossLady ambaye ni mzazi mwenze na  Diamond Platnumz, alitumia UA jeusi kutangaza kuachana kimahusano na msanii huyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Soma Zaidi: Mahusiano ya Diamond na Zari bye bye

Chanzo: bongo5.com