Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shamsa Afunguka Kurudiana na Chid Mapenzi

SHAMSA Shamsa Afunguka Kurudiana na Chid Mapenzi

Wed, 19 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kumekuwa na story kuwa penzi la muigizaji Shamsa Ford na aliyekuwa mumewe, Chidy Mapenzi limerudi upya, hii inatokana na ukaribu ambao wawili hao wamekuwa nao kwa siku za hivi karibuni.

Hasa Kupitia Leo tena ya Clouds Fm hii leo tarehe 19 Januari, Shamsa amedai hawajarudiana na Ex wake huyo, lakina na hawakuwa maadui, hivyo hawezi nuniana na aliyekuwa mtu wake ukizangatia wawili hao wote ni wafanya biashara,hivyo wanaweza kutana kwenye mishe zao za kibiashara na wakasaidiana.

Akiongeza kuwa tatizo la Bongo wanataka ukiachana na mtu msiongee na muwe maadui.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live